• Font size:
  • Decrease
  • Reset
  • Increase

Events Calendar

June 2017
S M T W T F S
28 29 30 31 1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 1

Klabu ya waandishi wa Habari - Dar

Dar es Salaam City Press Club (DCPC) ilianzishwa  na kusajiliwa mwaka 2003 chini ya uongozi  wa John Mapinduzi.  Wakati huo ilikuwa ikitoa mafunzo kwa wanachama wake kwa 

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Tanga

Tanga Press Club ni  Klabu huru isiyo ya kiserikali, kidini, kikabila ambayo ilianzishwa mwaka 1994 na kupata usajili 1997 wakati huo ikiwa na wanachama 15, wakiwemo wanawake 2. Hadi kufikia sasa klabu yetu inajumla ya

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Iringa

Kabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Iringa (IPC) ilianzishwa mwaka 1998 kwa madhumuni ya kuwaunganisha waandishi wa habari wanaofanya shughuli zao za kiuandishi katika mkoa wa Iringa.

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Kilimanjaro

Kabu ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeanzishwa mwaka 1996 kwa madhumuni ya kuwaunganisha waandishi wa habari wanaofanya shughuli zao za kiuandishi katika mkoa wa Kilimanjaro. Ilisajiliwa

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Singida

Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida, Singida Press Club( singpress) yenye makao makuu yake mkoani Singida katika Jengo la CDTF mtaa wa  Msufini manispaa ya Singida.

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Mwanza

Mwanza Press Club (MPC) is a, registered Non-Government Organization under Societies Ordinance 1954, on 9th, November, 1994 with a Certificate of Registration No. SO. 8262. MPC is an independent, non-governmental, non-

Read more...

Klabu ya waandishi wa habari - Morogoro

Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro(Morogoro Press Club) mchakato wa kuanzishwa kwake ulianza mwaka 1996 ilipofika tarehe 13/3/1997 ikapata usajili Wizara ya Mambo ya ndani na kupata cheti cha usajili chenye namba. SO.NO.9009 ikiwa na wanachama 20 kwa sasa Morogoro Press Club ina wanachama 80.

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Kagera

Kagera Press Club (KPC), taking its own personal initiatives, has secured funding from Tanzania Media fund (TMF), amounting to 60.0m/= for carrying out an in-depth research into “Magnitude and Impact of Illicit Arms Proliferation”

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Lindi

 (a) Historia ya Klabu

Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Lindi, Lindi Press Club ilianzishwa Disemba 2003 na kupata usajili wake kutoka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi Oktoba 7, 2004 na kupata hati ya usajili

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Mara

(i)       Historia ya klabu

Klabu ya waandishi wa habari Mkoani Mara (Mara Regional Press Club MRPC) kilianzishwa na waandishi wa habari Mkoani Mara mwezi Agosti 31, 2001 na kupata usajili Na. 11099 toka Wizara ya mambo ya ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Shinyanga

Klabu ya waandishi wa habari Mkoani Shinyanga ilisajiliwa mwaka 2003 kama NGOs na kupata namba ya usajili 12043, mnamo Julai 2004 ilianza kufanya kazi baada ya kufanyika uchaguzi mkuu ambao uliwaweka madarakani

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Njombe

Njombe Press Club (NPC), as a journalist association, came into existence after a new Njombe Region was officially established towards the end of 2012. The Club’s Interim leadership was voted in office at a General Assembly, held

Read more...

Klabu ya waandishi wa Habari - Tabora

Klabu ya Waandishi wa habari Tabora ni miongoni mwa Klabu 23 za Waandishi wa Habari nchini Tanzania, Klabu hii (Tabora Press Club) inafanyakazi zake katika misingi ya haki, usawa, uhuru wa Habari, uwazi na uwajibikaji katika

Read more...

News Archive

Our Videos

video