• Font size:
  • Decrease
  • Reset
  • Increase

Events Calendar

June 2017
S M T W T F S
28 29 30 31 1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 1

Msimamo wa UTPC kuhusu kufungiwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania

funga1Tumepokea kwa mshtuko mkubwa, uamuzi wa Serikali kuyafungia magaeti ya Mwananchi na Mtanzania.

Mshituko huo unatokana na ukweli kwamba, kwa sasa dunia nzima inaelekea kwenye uwazi, kuliko kuendeleza usiri usiokuwa na maana wala faida yoyote.

Kilichotushangaza zaidi ni kwamba Serikali imeyafungia magazeti haya, siku ya Haki ya Kujua Duniani, International Right to Know Day, ambayo huadhimishwa tarehe 28/9/2013 kila mwaka.

Tunaishauri Serikali, kuyafungua magazeti hayo mara moja, na iwapo ina malalamiko yake dhidi ya magazeti hayo, au na vyombo vingine vyovyote vya habari, wapeleke malalamiko haya Baraza  la Habari Tanzania, ambalo limeundwa kwa ajili hiyo.

 

Imetolewa na:

Kenneth Simbaya

Rais

UTPC

News Archive

Our Videos

video