• Font size:
  • Decrease
  • Reset
  • Increase

Events Calendar

June 2017
S M T W T F S
28 29 30 31 1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 1

Ukaguzi wa vifaa vya UTPC unaendelea

hiiKazi ya ukaguzi wa vifaa vya UTPC ambavyo vitagawiwa kwa klabu za waandishi wa habari kwa mwaka 2013 unaendelea kwa kasi. Vifaa ambavyo vinakaguliwa ni kompyuta za mezani,kompyuta za mikononi,na vinasa sauti.
 
Wataalamu kutoka UTPC ambao wanasimamia ukaguzi huo ni Victor Maleko na Steven Mhamba ambae ni mtaalamu mwelekezi wa vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano.
 
Kampuni ya Ran IT ya Dar EsSalaam ndiyo iliyoshinda zabuni ya kununua vifaa hivyo kwa mwaka 2013. Kazi ya usambazaji wa vifaa hivyo kwa klabu itaanza tarehe 9 Septemba 2013,klabu zote zimefahamishwa kuhusu usambazwaji wa vifaa hivyo. Mwaka 2012 klabu zilipata vifaa kama kompyuta za mezani,kompyuta za mkononi,mashie za photokopi,kamera za video na picha mnato,vinasa sauti,redio za kisasa,projector na kitambaa chake na mashine za kufungia makabrasha.
 
Kwa picha zaidi yao tukio hilo angalia hapa chini
Wakaguzi wa vif...
Wakaguzi wa vifaa toka UTPC na wafanyakazi wa RAN IT wakiendelea na kazi ya ukaguzi wa vifaa katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar Es Salaam Wakaguzi wa vifaa toka UTPC na wafanyakazi wa RAN IT wakiendelea na kazi ya ukaguzi wa vifaa katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar Es Salaam

News Archive

Our Videos

video