• Font size:
  • Decrease
  • Reset
  • Increase

Events Calendar

June 2017
S M T W T F S
28 29 30 31 1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 1

UTPC yakamilisha ununuzi na usambazaji wa vifaa kwa mwaka 2013

  1. UTANGULIZI

pczBaada ya zabuni kutangazwa na mshindi kupatikana, sasa ununuzi na usambazaji wa vifaa kwa mwaka 2013 umekamilika.

Klabu zote 23 zimepatiwa vifaa kwa mujibu wa kabrasha la Tenda.

2. USAMBAZAJI WA VIFAA

Vifaa vilisambazwa mara baada ya ukaguzi kukamilika na kila klabu ilichukulia vifaa vyake katika ofisi ya RAN IT Solution Ltd zilizopo jijini Dar es Salaam isipokuwa Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Kagera na Mara ambazo zilichukulia vifaa vyake katika ofisi za UTPC mjini Mwanza.

 

3. VIFAA VILIVYOKABIDHIWA KWA KLABU

Kila klabu ilipata vifaa vifuatavyo;

  1.  Kompyuta 4
  2.  Kompyuta mpakato 1
  3.  Vinasa sauti 2
  4.  Boom mic 1

Hii ni awamu ya pili na ya mwisho, ambapo vifaa hivyo vinasambazwa kwa klabu nchini chini ya Mpango Mkakati 2011 – 2013.  

News Archive

Our Videos

video