"Tujitafakari, Tujadiliane" Dkt. Bashiru Ally

Dkt. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa mgeni katika kipindi cha Tujadiliane na alisititiza misingi ya Utaifa na Uzalendo kwa Watanzania, Umuhimu wa Uongozi Bora na sio Utawala. 

Fuatilia Kipindi chetu cha Tujadiliane uweze kujua Zaidi.