Mwisho wa Mfuko ya Plastiki: Maendeleo Endelevu ya Mazingira

Sheria ya Plastiki, imeanza utekelezaji rasmi. UTPC ilikaa na Naibu Waziri Mh. Mussa Sima kujadiliana na kuchanganua zaidi hii sheria na umuhimu wake katika jamii na maendeleo kwa ujumla.