NOTISI YA MKUTANO MKUU WA UTPC MWAKA 2020

Notisi hii imetolewa kwa wanachama wote wa UTPC, kwa mujibu wa kifungu namba 14 (Viii) cha katiba ya UTPC, kwamba Mkutano Mkuu wa wa UTPC kwa mwaka 2020 utafanyika tarehe 16 na 17 Novemba 2020, kwenye Ukumbi wa Flomi Hotel, Morogoro.

 

Ajenda zitakazojadiliwa kwenye mkutano huo ni;

  1. KufunguaMkutano

  2. KuthibitishaajendazaMkutano

  3. Kupokea,kujadilinakuidhinishamuhtasariwaMkutanoMkuuwamwaka 2019

  4. YatokanayonamuhtasariwaMkutanoMkuuwamwaka2019

  5. Kupokea,kujadilinakupitishataarifayaUtekelezajinataarifayaukaguzi wa hesabu za UTPC kwa mwaka 2019

  6. UchaguziwaWajumbewaBodiyaWakurugenzi

  7. MengineyokwaidhiniyaMwenyekiti

  8. KufungaMkutano

     

     

     

     

Imetolewa na 

Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC

Abubakar Karsan