UTPC YATOA FOMU ZA KUGOMBEA UJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI

UTPC ipo kwenye maandali ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa UTPC utakaofanyika tarehe 16 na 17 mwezi Novemba mkoani Morogoro.

 

Pamoja na mambo mengine, moja ya maandalizi yaliyokamilika ni Fomu ya kugombea ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya UTPC. Fomu hii zinapatikana katika ofisi za Press Clubs zote nchini pamoja na kwenye tovuti ya UTPC.